Jumapili, Mei 25, 2014

HABARI KUBWA TANO ZILIZOSOMWA ZAIDI WIKI HII


1. MASIKINI ADAM KUAMBIANA, ALIJUA KIFO CHAKE AKAJIANDAA LAKINI ALICHELEWA! KILICHOMUUA KIKO HAPA, KUAGWA KESHO LEADERS NA KUZIKWA KINONDONI
KWELI kifo hakina huruma! Msemo huu umetimia juzi kufuatia kifo cha ghafla cha mwigizaji na mwongozaji wa filamu za Kibongo, Adam Philip ...



2. JINSI ADAM KUAMBIANA ALIVYOAGWA LEO JIONI NYUMBANI KWAKE BUNJU, DAR ES SALAAM
MWILI wa mwongozaji na mwigizaji wa filamu Bongo, Adam Kuambiana umeagwa nyumbani kwake Bunju B, Dar ambapo ndugu, jamaa, wanasiasa, maraf...


 
3. MAPYA YAIBUKA KIFO CHA ADAM KUAMBIANA...SUMU IMEHUSIKA...ALIKUWA NA MKE WA NDOA NA MTOTO AMBAO HAWAKUFAHAMIKA...ALIKUWA NA UHUSIAMO WA KIMAPENZI NA STARA THOMAS!!! BAJETI YA MAZISHI MILIONI 5
KIFO cha ghafla cha mwigizaji na mwongoza filamu za Kibongo, Adam Philip Kuambiana kimeibua mazito ya kutosha, Uwazi limeshika kitu mko...


4. ISABELA MPANDA AACHA NYETI ZAKE KWEUPE! NI KATIKA KITCHEN PARTY
Miss Ruvuma 2006, Isabela Mpanda amedhihirisha jinsi alivyo hamnazo baada ya kuvua nguo hadharani na kuacha nyeti nje bila kujali watu wa...



5. BAADA YA UKIMYA WA MUDA SASA HAYA NDIO MAPYA KUHUSU NDEGE YA MALAYSIA ILIYOTOWEKA ANGANI
Waziri Mkuu wa zamani wa Malaysia amesema Shirika Kuu la Kijasusi la Marekani CIA linaficha maelezo muhimu kuhusu hatima ya ndege ya Mala...

0 comments:

Chapisha Maoni