Jumanne, Juni 03, 2014

TAMBUA JINSI YA KUVUNA PESA KWA KUTUMIA NYOTA YAKO

Pesa inatambulika kama nyenzo ya kukuwezwesha kupata kitu au huduma, lakini kwa watu wengine huchukuliwa katika tafsiri tofauti,
Kwa wengine pesa kwao huwa ni ulinzi na furaha na kwa wengine huwa ni starehe au njia ya kumaliza matatizo aliyonayo huyo muhusika.
Lakini kuna upande mwingine wa Pesa, namna gani unaweza kuipata au kuivuta ije kwako.
Hujawahi kusikia watu wakisema hata wewe ukisema kwanini Fulani anatengeneza pesa kuliko mimi na inawezekana wewe na yeye mumezaliwa tarehe moja na nyota yenu ni moja.
Pamoja na kwamba nyota yako inachangia katika wewe kupata pesa kuna mambo mengine yanaweza kukupa mchango mkubwa katika kupata pesa mfano,sehemu ulipozaliwa, elimu yako, makuzi ya wazazi wako, pamoja na mambo mengine ni moja wapo ya mambo ambayo yanachangia wewe kuwa na Uchumi mzuri au kivutio cha Pesa.
Wakati mwingine sio wewe hata mimi huwa najiuliza ni kwa nini watu wanaozaliwa tarehe mmoja mwezi mmoja lakini huwa wanatofautiana mwingine tajiri na mwingine maskini au hana kitu.
Kwanza kabisa Jina lako ni muhimu sana, kama ilivyo tarehe yako ya kuzaliwa katika kukusaidia wewe kupata pesa………..Mfano unampa mtoto jina Matatizo au masikini au shida ……… na kadhalika.
Jina huwa linaweza kubadilishwa lakini tarehe ya kuzaliwa haibadiliki kama ilivyo Mshale wa Kampasi ambao saa zote huwa unaelekea kaskazini………
Hii ndio sababu kila tarehe lazima iwe na maelezo yake ya namna ya kufanya ili kuweza kupata mafanikio
Mfano Hata ukiwa umezaliwa tarehe moja na mtu mwingine hamuezi kuugua ugonjwa mmoja au kuoa tarehe moja na wala kuweza kupata mafanikio wakati mmoja, kwa hiyo tofauti zilizopo za namna ya kupata pesa ni lazima zieleweke.
NAFASI YAKO YA KUPATA PESA:
Ikiwa umezaliwa tarehe 1 10, 19, 28 ya mwezi wowote Au kama hujui tarehe yako ya kuzaliwa ikiwa jina lako limeanzia na Herufi za (A, J, S.) wewe huwa unazichukulia pesa kama njia ya kumaliza matatizo yako au njia ya kuinua jina lako, hadhi yako au nafasi yako kimaisha na katika Jamii.
Njia nzuri ya wewe kupata pesa ni kujiingiza katika Nyanja au kazi ambazo ni mpya na halisi au za uhakika , kwa maana ya kufanya Biashara mpya kuwa na miradi mingi kwa wakati mmoja au huku unafanya kazi huku unafanya biashara.
Kama ilivyo tarehe yako ya kuzaliwa unatakiwa uwe na mamlaka juu ya wengine kwa maana ya kwamba uwe wewe ndie mmiliki wa shughuli, kama kampuni yako mwenyewe na siyo kuajiriwa au kutumwa
Jitegemee, jitume na uwe ni wewe, jaribu kuwa na hisia au mawazo ya kufanikiwa na mara kwa mara buni njia tofauti za kupata pesa tena nyingi ,
Jaribu kuwa muaminifu na kopa katika Taasisi zinazoeleweka. Miezi ya Februari, April na Agosti ndio miezi yako ya mafanikio,katika utekelezaji wa Shughuli zako jaribu sana kuwa makini na mfuatiliaji wa mambo yako usiwaachie watu. Tahadhari katika miezi ya Januari, May na Oktoba, hii siyo miezi mizuri kwako usikope wala kukopesha au kuanzisha shughuli yoyote ya kipato katika miezi hiyo.

Waliofanikiwa ambao ni Mamilionea wa Namba 1 ni hawa wafuatao:-
1. Dolly Patron alizaliwa tarehe 19/1/1964
2. Rod Stewart alizaliwa tarehe 10/1/1945
3. Lee Marvin alizaliwa tarehe 19/2/1964
4. Jacqueline Kennedy onasis alizaliwa tarehe 28/2/1926
5. Lisa marie Presley alizaliwa tarehe 1/2/1929
6. Bruce willis alizaliwa tarehe 19/3/1955
7. Evander holyfield alizaliwa tarehe 19/10/1962
8. William Bill Gate alizaliwa tarehe 28/10/1955
9. Ted Turner alizaliwa tarehe 19/11/1938.
WATU WA NAMBA MBILI
Ikiwa umezaliwa tarehe 2 11, 20, 29 ya mwezi wowote Au kama hujui tarehe yako ya kuzaliwa ikiwa jina lako limeanzia na Herufi za (B, K, T.) Wewe huwa unakuwa na aibu katika utafutaji wa Pesa hasa katika shughuli zako mwenyewe.
Njia nzuri sana kwako wewe kupata pesa ni kwa kuzikusanya na kuzihifadhi kidogo kidogo kwa muda mrefu, kwako wewe kinyota huwezi kupata pesa nyingi kwa wakati mmoja na huwa zinakuja ukiwa unajishughulisha na shughuli zinazohusiana na jamii, mambo ya ubunifu, mbinu na mipango ya watu ambao mnaelewana au wako tayari kushirikiana na wewe, hiyo itakuongezea spidi ya wewe kupata pesa.
Jiunge katika kusaidia watu hiyo itakuletea faida ya kifedha baadae, Biashara ya kununua na kuuza itakupa faida kubwa. Shughuli zako za kipato kubwa zifanyike kwa ushirikianao na watu waliozaliwa Mwezi January, May, July na Oktober
Kuwa na tahadhari kukopa pesa au kujiingiza katika biashara miezi ya April, November na Januari.
Waliofanikiwa ambao ni Mamilionea wa Namba 2 ni hawa wafuatao:-
1. Oprah Winfrey alizaliwa tarehe 20/1/1954
2. Michael Jackson alizaliwa tarehe 29/8/1958
3. Spike lee alizaliwa tarehe 20/3/1957
4. Cindy Crawford alizaliwa tarehe 20/2/1966
5. Andre Agassi alizaliwa tarehe 29/4/1970
WATU WA NAMBA 3
Ikiwa umezaliwa tarehe 3 12, 21, 30 ya mwezi wowote Au kama hujui tarehe yako ya kuzaliwa ikiwa jina lako limeanzia na Herufi za (C, L, U.)
Wewe ni mtu ambaye huwa unaishi kwa wakati huo uliopo, kwa maana unatumia unachokipata kila kinapokuja, hali hii inakufanya utumie hata akiba yako uliyonayo au mtaji wako ulionao. Njia nzuri ya kukufanya uwe na pesa nyingi ni kujithibiti, Ukifikiri makubwa basi utafanikiwa pakubwa, neno kushindwa lisiwe lako, ukiwa na tabia ya kujiamni utafanikiwa sana.
Kopa, kuwa muaminifu na lipa madeni yako kwa wakati, muda mzuri wa wewe kupata pesa ni Mwezi wa March, May, Oktober na Decemba, miezi ambayo unaweza kupata matatizo ya kifedha ni mwezi wa February, June Agosti na September
Waliofanikiwa ambao ni Mamilionea wa Namba 3 ni hawa wafuatao:-
1. Bill Cosby alizaliwa tarehe 12/7/1937
2. Mike Tyson alizaliwa tarehe 30/6/1966
3. Eddie Murphy alizaliwa tarehe 3/4/1961
4. Mel Gibson alizaliwa tarehe 3/1/1956
5. Tiger Woods alizaliwa tarehe 30/12/1975
WATU WA NAMBA 4
Ikiwa umezaliwa tarehe 4 13, 22, 31 ya mwezi wowote Au kama hujui tarehe yako ya kuzaliwa ikiwa jina lako limeanzia na Herufi za (D, M, V.)
Wewe ni mmoja ya watu ambao unaweza au unapata pesa zako kwa wingi sana katika njia ambao si za kawaida. Kuna wakati unaweza ukawa na pesa nyingi sana na kuna wakati unakuwa huna kitu kabisa. Unaweza kuwa tofauti na pesa lakini una njia ya kuzitumia unapozipata, unatakiwa ili kuhifadhi hizo pesa uishi kwa kuwa na rekodi nzuri ya fedha, bajeti nzuri na matumizi yako yaendane na kipato chako, unapofanya manunuzi jaribu kulilia hali, nunua vitu vya bei ya chini na utapata Maendeleo Makubwa katika pesa.
Biashara na masuala ya kipato yafanyike mwezi wa Februari, June, na Agosti , miezi mibaya kwako kifedha ni mwezi wa January, May na Oktoba.
Waliofanikiwa ambao ni Mamilionea wa Namba 4 ni hawa wafuatao:-
1. Stevie Wonder alizaliwa tarehe 13/5/1950
2. Clint Eastwood alizaliwa tarehe 31/5/1966
3. Wesley Snipes alizaliwa tarehe 31/7/1962
4. Naomi Campbell alizaliwa tarehe 22/5/1970
5. Dennis Rodman alizaliwa tarehe 13/5/1964
WATU WA NAMBA 5
Ikiwa umezaliwa tarehe 5 14, 23, ya mwezi wowote Au kama hujui tarehe yako ya kuzaliwa ikiwa jina lako limeanzia na Herufi za (E,N, W.)
Wewe ni mtu ambaye unapenda kuishi kwa wakati, (kwa maana ya kutumia kilichopo kulingana na hali yako), hali hii au tabia hii uliyonayo huathiri sana kipato chako.
Huna tabia nzuri ya kuhifadhi fedha. Wewe ni mtu ambaye unaweza kupata fedha kwa kufanya majaribio, bila ya kuwa na tahadhari (Usiwe muoga) na kwa kubahatisha.
Ukiwa na shughuli zaidi ya moja inaweza kukusaidia sana kupata pesa za ziada
Kwa vile number 5 ni namba ya Habari na Matangazo, jitangaze na sana jiuze kwa kutumia Radio, Televisheni, Magazeti utapata mafanikio makubwa.
Ukikumbuka kujilipa wewe kwanza kabla hujawalipa wengine utaona kwamba kipato chako kitakuwa sana na kwa haraka.
Mafanikio yako ya kipesa huwa yanapatikana Sana mwezi wa February, May na June na miezi mibaya kwako kipesa ni mwezi wa January, March na December
Waliofanikiwa ambao ni Mamilionea wa Namba 5 ni hawa wafuatao:-
1. Julio iglesias alizaliwa tarehe 23/9/1944
2. Michael Caine alizaliwa tarehe 14/3/1933
3. Prince Charles alizaliwa tarehe 14/11/1948
4. Quincy Jones alizaliwa tarehe 14/3/1933
5. Colline Powell alizaliwa tarehe 5/4/1937
WATU WA NAMBA 6
Ikiwa umezaliwa tarehe 6 15, 24, ya mwezi wowote Au kama hujui tarehe yako ya kuzaliwa ikiwa jina lako limeanzia na Herufi za (F,O, X.)
Njia nyepesi kabisa ya wewe kupata mafanikio ya kipesa ni kujituma kuwajibika kwa matendo yako, kwa maana mafanikio yanakuwa yako kukosa kwako ni jambo la kawaida na mapingamizi kwako iwe ni changamoto ya kujituma zaidi.
Njia nyingine uliyonayo ya kupata pesa ni kuwa una hisia ya thamani unajua thamani ya pesa, unapokuwa unafanya biashara unakuwa asilia kwa maana biashara iko ndani ya damu yako, unaweza ukamuuzia mtu kitu hata kama hakitaki na unaweza kulilia hali pale inapotakiwa.
Kwa vile namba hii ni ya ushirika au ushirikiano utafanikiwa sana ukiwa utawashirikiasha wenzio katika mambo yako usifanye mambo peke yako
Hata hivyo fikra za kutokufanikiwa au kuwa na wasiwasi kwamba watu watakufikjiriaje zinaweza kukuzuia usipate utajiri.
Fanya masuala ya kipesa mwezi wa Machi, May, July na Oktoba. Jaribu sana kuepuka miezi ya Februari, Aprili na Agosti
Waliofanikiwa ambao ni Mamilionea wa Namba 5 ni hawa wafuatao:-
1. Sylvester Stallone alizaliwa tarehe 23/9/1944
WATU WA NAMBA 7
Ikiwa umezaliwa tarehe 7 16, 25, ya mwezi wowote Au kama hujui tarehe yako ya kuzaliwa ikiwa jina lako limeanzia na Herufi za (D, M, V.)
Wewe ni mtu ambaye pesa zako hupatikana kwa pole pole na umakini mkubwa.ili kupata hayo mafanikio ya kipesa, Unatakiwa uwe una uelewa mkubwa katika utafutaji wa pesa, kwa maana kwamba uwe unajua unafanya nini au unataka kufanya shughuli gani katika kutafuta pesa. Jambo hilo litakusaidia sana katika kujua pesa utazipataje.
Katika utafiti wangu wa mamilionea sikushangaa sana kuona kwamba wale wote waliozaliwa katika namba 7 wamekuwa ni watu wa nyuma nyuma au wenye aibu katika utafutaj pesa. Hasa ikizingatiwa kwamba namba saba ni namba ya kiroho na kimungu na siyo ya kidunia .
Ukitaka mafanikio ya kipesa ni lazima uwe na Ubunifu na utambuzi wa nini unataka, hali hiyo itakusaidia sana kwa uwezo wa juu kuvutia mambo yote yanayohusiana na wewe kupata pesa.
Yaweke pembeni na usiyaone kabisa yale ya kidunia ambayo yanaweza kukusababishia wewe kupoteza fedha hata zikiwa kidogo, Tumia mbinu zako na uelewa wako ambao umeupta kwa miaka mingi, ukiwa katika hali hii itakusaidia sana kuweke kupata mafanikio,
Kwa vile dunia ya sasa ni ya khabari na teknologia tumia uwezo wako katika hayo na utaona mafanikio makubwa
Muda mzuri wa wewe kufanya biashara ni miezi ya May, July, na Agosti na miezi mibaya ya kifedha ni Januari, April na November.
Waliofanikiwa ambao ni Mamilionea wa Namba 7 ni hawa wafuatao:-
1. Kareem Abduljabar alizaliwa tarehe 16/4/1947
2. Sean Connery alizaliwa tarehe 25/8/1930
3. Madonna alizaliwa tarehe 16/8/1958
4. Will Smith alizaliwa tarehe 25/9/1968
5. Elton John alizaliwa tarehe 25/3/1947
6. John F Kennedy Jr alizaliwa tarehe 25/11/1960
7. David Copperfield alizaliwa tarehe 16/9/ 1956
8. Nicholas Cage alizaliwa tarehe 7/1/1964

15 comments:

  1. mbona helufi H hakuna maelezo yake,Pia Helufi DVM umeziludia mala mbili na maelezo yanatofautiana

    JibuFuta
  2. DR,MDIRO JE WATAKA PESA AU UTAJIRI WA NDAGU AU MAJINI PAPO HAPO NDANI YA MUDA MFUPI, KIKUBWA NI KUWA NA NIA TEKELEZA UTAKACHOELEKEZWA MASHARTI NI YA KAWAIDA PIGA SIMU NO, +225 746223645.TAFADHARI PIGA SIMU HUSITUME SMS KUHEPUKA UTAPELI.(piga simu ukiwa na nia)

    JibuFuta
  3. JE UNAMATATIZO
    (MALIPO YA NDAGU ZA MALI AU MAJINI NI BAADA YA MAFANIKIO)
    (KWANINI USUMBUKE)
    NAITWA DR, MDIRO piga 0742162843. KAMA UNAITAJI PESA ZA MAJINI AU NDAGU YA MALI AU UTAJIRI NDANI YA MASAA 72(SIKU TATU), NDOA, MIKOSI, MABALAA, JINI MAHABA NA SHIDA YA UZAZI. NIPIGIE 0742162843. KIKUBWA NI KUSIKILIZA NA KUFATA MASHARTI. ANGALIZO USITUME SMS PIGA NA UWE NA NIA.

    (kuhusu utajiri au pesa) KABLA YA KUPIGA SIMU ZINGATIA YAFUATAYO
    1. uwe una umri wa miaka 18+
    2. uwe tayari kupokea masharti yote
    3.uwe na uwezo wa kutunza siri
    4. uwe jasiri wa kupokea taarifa yoyote 
    PIGA SIMU KWANZA HUSITUME SMS

    JibuFuta
  4. Mimi nimealiwa rarwhe 23 sept naweza kuwa katika kundi gani?

    JibuFuta
  5. Samahani Dr utapatikana wapi hapa dar es salaam ?

    JibuFuta
  6. Ahsante kwa elimu,kwani unatufungulia ulimwengu.

    JibuFuta
  7. USHUHUDA WA JINSI NILIYOPATA MKOPO WANGU $300,000.00USD KUTOKA KWA KAMPUNI YA FEDHA WIKI ILIYOPITA Barua pepe kwa jibu la haraka: drbenjaminfinance@gmail.com

    Je! Unahitaji mkopo kuanza biashara au kulipa deni yako {Dr.Benjamin Scarlet Owen} pia anaweza kukusaidia na ofa ya mkopo halali. Pia amesaidia wenzangu wengine na fedha za mkopo. Pata kadi yako ya ATM tupu au Kadi ya CREDIT ulete kwa mlango wako ambao unafanya kazi katika mashine zote za ATM ulimwenguni kote kwa msaada wa BENJAMIN FEDHA YA MKOPO kadi za ATM zinaweza kutumiwa kutoa kwenye Mashine za ATM au swipe, kwenye maduka na POS. hutoa kadi hizi kwa wateja wote wanaovutiwa ulimwenguni, Ikiwa unahitaji mkopo bila gharama / mafadhaiko yeye ndiye mkopeshaji wa mkopo sahihi ili kufuta shida zako za kifedha na shida leo. FEDHA YA MIKOPO YA BENJAMIN inashikilia habari yote juu ya jinsi ya kupata pesa haraka na bila uchungu kupitia WhatsApp +19292227023 Barua pepe drbenjaminfinance@gmail.com

    JibuFuta