BAD NEWS!!!!!!!!!! Mtoto wa aliyekuwa mtabiri bingwa wa Afrika Mashariki na Kati, Sheikh
Yahya Hussein, Maalim Hassan Hussein leo ametembelea ofisi za Global
Publishers na kufunguka kuhusu vifo vya wasanii vinavyoendelea nchini.
Maalim Hassan amesema vifo hivyo vitaendelea mpaka mwakani mwezi Aprili.
0 comments:
Chapisha Maoni