Tetemeko lenye ukubwa wa 6.4 lilitokea kusini mwa Taiwan mapema Jumamosi na kuharibu majengo kadhaa,ambapo jengo angalau moja lilianguka,na kuwanasa mamia ya wazaki.
Waokoaji walienda katika eneo la tukio hilo na kuwaokoa zaidi ya watu 160, vyombo vya habari vilitoa taarifa.
0 comments:
Chapisha Maoni