Jumapili, Aprili 20, 2014

UMESOMA HADITHI NYINGI ZA MAPENZI, LAKINI HII ITAKUSISIMUA KULIKO ZOTE, UTATUMIA DAKIKA 2 KUSOMA LAKINI...

1st year

nikiwa nimekaa leacture room nikimuangalia msichana aliyekaribu yangu,niliyekuwa nikimuita "Bestfriend"nilikuwa nikimuangalia nywele zake nzuri na sura yake ya upole huku nikitamani awe wangu,lakini yeye hakuwa akitamani hilo na nilikuwa nikilitambua hilo.
Baada ya leacture,alikuja kwangu na kuniomba notes za siku ya nyuma kwa sababu hakuweza kuingia darasani hiyo siku iliyopita.baada ya kumpa akasema "asante" na kushikana mikono na mimi.I wanted to tell her,i want her to know that i don't want us to be just friends,i love her but i'm just to shy,and i don't know why

2nd year

Simu yangu iliita,kupokea alikuwa yeye alikuwa akilia akinielezea jinsi gani boyfriend wake broke her heart,she asked me to come over because she didn't want to be alone,kwa kuwa ni rafiki yangu kipenzi ilinibidi kwenda kumfariji,as i sat next to her on the sofa,nilikuwa nikimuangalia Machoni nikitamani awe wangu.Baada ya masaa mawili baada ya kuangalia nae movie mbili tatu na kula nae chakula pamoja akarudi katika hali yake ya kawaida,hivyo akaamua kwenda kulala,before akaniangalia na kuniambia "asante" na kunipa tabasamu tamu,i want to tell her to know that i don't us to be just friends,i love her but i'm just too shy,and i dont know why.

3rd year

Siku moja kabla ya Tamasha la muziki chuoni alikuja kwenye meza yangu leacture room na kuniambia "Boyfriend wangu amepata udhuru hivyo naomba unipe campan katika tamasha la muziki leo usiku" kwa kuwa tuliwekeana promice kwamba ikitokea kila mmoja wetu amekosa mtu wa ku-date nae basi tutaenda pamoja just as "bestfriends".hivyo tukaenda.
katika tamasha baada ya kila kitu kuisha na muziki kufungwa,nilikuwa nimekaa nje ya ukumbi nikimuangalia jinsi alivyokuwa akicheka na rafiki zake,she saw me looking to her she smiled at me,i want her to be mine lakini yeye alikuwa hafikirii hilo kabisa na nilikuwa nikilitambua hilo,then she said to me "nimekuwa na muda mzuri na wewe asante sana" and she gave me a sweet smile.I want to tell her to know that i don't us to be just friends,i love her but i'm just too shy,and i dont know why.

Graduation Day

siku,wiki kisha mwezi ukapita ilikuwa ni mahafali yetu tukimaliza masomo ya chuo,akiinuka kwenda kutunukiwa shahada yake ya uchumi nilikuwa nikimuangalia akiwa amependeza sana siku ile,i wanted her to be mine,but she didn't notice me like that,and i knew it.
kabla watu hawajatawanyika kwenda makwao,alikuja kwangu akiwa na vazi lake la mahafali,na kulia pale nilipomkumbatia akainua kichwa chake na kuniambia "you are my bestfriend asante sana" i want to tell her to know that i don't us to be just friends,i love her but i'm just too shy,and i dont know why.

Miaka michache baadae

Nikiwa kanisani Yule Msichana akiwa anaolewa sasa,nilimuangalia akisema "ndiyo nakubali " and drive off to new life,kaolewa na mwanaume mwingine,i wanted her to be mine,but she didn't see me like that,and i knew it.
but before she drove away,alikuja kwangu na kusema "asante sana" and kissed me on the cheek.I want to tell her to know that i dont us to be just friends,i love her but i'm just too shy,and i dont know why.

Kwenye Mazishi

Miaka ilipita i looked down katika jeneza lilokuwa na msichna ambaye alikuwa ni "bestfriend" wangu,Katika Service ya mazishi wakasoma diary ya Bestfriend ambayo alikuwa akiiandika enzi za maisha ya chuo'

Diary yake ilikuwa Ilikuwa ikisomeka hivi
I stare at him napenda awe wangu,but he doesn't notice me like that,and i know it,i want to tell him,i want him to know that i dont want us to be just friends,i love him but i'm just to shy,and i dont know why.I wish he would tell me he loved me!

Nilipiga magoti huku nikilia nikijisemea moyoni i wish ningemwambia tu ukweli,nimeshachelewa sipo nae tena katangulia mbele za haki i cried!!

Vunja ukimya

18 comments:

  1. yakufikirika zaidi......inafaaa for young and new relation

    JibuFuta
  2. Stori Tamu Kweli,ina maelezo yaliowekwa kwa uwasi wa aina yake.licha ya kuwa haina mafumbo na methali,lakini ina ubora wa kijieleza hivo kufutia msomaji kwa riwaya sote.

    JibuFuta
  3. It's among Of the best story ever that have drived me crazy

    JibuFuta
  4. Majibu
    1. 😂😂😂 haki iyo miaka yote

      Futa
  5. Kwaiyo msichana ananimpenda sana ila ameenda kwa mwingine inakuaje...sijajua ameniacha au amenipokezea kabisa maisha haya nimetoka mbali ananimpenda,ananijali katika maisha ya utotoni

    JibuFuta
  6. Naomba nisaadie hii nimpende sana

    JibuFuta
  7. duuh!! Kiswaenglish hicho jamani kam ni Kiswahili basi iandikwe kiswahili. Na sio kuchanganya Kiswahili na English vibayo hivyo mpaka kinakua kigumu kueleweka. Kwa mfano jinsi gani boyfriend wake broke her heart. Ila strory nzuri

    JibuFuta
  8. Sawa, jina langu ni "Merly Ovando". Nimeolewa na mpenzi wangu wa chuo kwa miaka 7 bila mtoto. Tulijaribu kwamba wote ndani ya uwezo wetu wa kubeba mtoto lakini bila ya kujitahidi juhudi zote zilikuwa za kutoa mimba. Tunafanya vipimo tofauti vya matibabu lakini hakuna kitu kinachoonekana kibaya na sisi. Vitu vilikuwa vibaya zaidi ya muda hadi kufikia kwamba nilikuwa karibu kufungua talaka kwa sababu ya kutokuwa na uwezo wa kulea watoto, lakini John aliendelea kunitia moyo. Mafanikio yalitokea wakati nilikutana na Maxwell, rafiki yangu wa zamani, na nikamwambia juu ya kutokuwa na uwezo wa kuwa na mtoto na kiasi gani tumekwenda ili kuhakikisha tuna mtoto. Maxwell alituletea kipaji hiki cha ajabu na kikuu ambacho hatimaye alisaidia ... Ingawa hatukuwa mashabiki wa aina hii ya kitu, tuliamua kujaribu kwa kukata tamaa kwa sababu tulikuwa tamaa na hatukuwa na uchaguzi mwingine ... Alifanya maalum sala na tulitumia mizizi na mimea juu yetu ... Dk. Amani ametuhakikishia kuwa nitakuwa na mjamzito kabla ya mwisho wa siku 90 (miezi 3). Hapa, John na mimi tuna heri na binti sasa. Maneno hawezi kueleza jinsi Yohana na mimi tunafurahi kwa muujiza wa ajabu ambao Daktari Amani alifanya kwa ajili yetu. Tumejulisha kwa wanandoa wengi wenye matatizo duniani kote na kuwa na habari njema ... Ninaamini sana kuwa mtu huko nje anahitaji msaada wake. Unaweza kuwasiliana na Daktari Amani kwa barua pepe: doctorpeacetemple@gmail.com au unaweza kumwita kama unahitaji msaada katika uhusiano wako au katika kesi nyingine yoyote. Whatsapp: +2348059073851


    1) upendo inaelezea
    2) Upendo uliopotea unaelezea
    3) Talaka inaelezea
    4) Ndoa inaelezea
    5) Kuweka kiungo.
    6) Kuvunja maneno
    7) kupiga marufuku mpenzi wa zamani
    8.) Unataka kukuzwa katika ofisi yako
    9) Unataka kukidhi mpenzi wako
    10) Tiba ya magonjwa yoyote unayo shida

    Wasiliana na mtu huyu mkuu ikiwa una shida na ufumbuzi wa kudumu kwa njia ya doctorpeacetemple@gmail.com
    Whatsapp: +2348059073851

    JibuFuta
  9. duh ebwana eeeeeeeeeeeeeeeeeenh c poa sana

    JibuFuta
  10. Sio nzuri haiyeleweki yaani kama summary

    JibuFuta
  11. USHUHUDA WA JINSI NILIYOPATA MKOPO WANGU $300,000.00USD KUTOKA KWA KAMPUNI YA FEDHA WIKI ILIYOPITA Barua pepe kwa jibu la haraka: drbenjaminfinance@gmail.com

    Je! Unahitaji mkopo kuanza biashara au kulipa deni yako {Dr.Benjamin Scarlet Owen} pia anaweza kukusaidia na ofa ya mkopo halali. Pia amesaidia wenzangu wengine na fedha za mkopo. Pata kadi yako ya ATM tupu au Kadi ya CREDIT ulete kwa mlango wako ambao unafanya kazi katika mashine zote za ATM ulimwenguni kote kwa msaada wa BENJAMIN FEDHA YA MKOPO kadi za ATM zinaweza kutumiwa kutoa kwenye Mashine za ATM au swipe, kwenye maduka na POS. hutoa kadi hizi kwa wateja wote wanaovutiwa ulimwenguni, Ikiwa unahitaji mkopo bila gharama / mafadhaiko yeye ndiye mkopeshaji wa mkopo sahihi ili kufuta shida zako za kifedha na shida leo. FEDHA YA MIKOPO YA BENJAMIN inashikilia habari yote juu ya jinsi ya kupata pesa haraka na bila uchungu kupitia WhatsApp +19292227023 Barua pepe drbenjaminfinance@gmail.com

    JibuFuta
  12. Kwa zaidi ya miaka 13 ya ndoa sikuweza kuzaa, naendelea kuharibika hata nikipata mimba, madaktari wote hawakuweza kunisaidia, hadi dada yangu akanielekeza kwa Dr DAWN, ambaye alinisaidia nikapata ujauzito na sasa hivi kuwa na mtoto mzuri wa kike,
    Anasaidia pia marafiki zangu wengi niliowaelekeza, Dr DAWN ni baraka kwa kila mtu anayewasiliana naye,
    *Kama unataka kupata mimba.
    *Ukitaka kuacha kuharibika kwa mimba.
    *Ukitaka kumrudisha mpenzi wako.
    *Kama unataka mume/mkeo arudishwe.
    *Kama unataka kurejesha mali yako iliyoibiwa au Pesa.
    *Ukitaka kutibu aina yoyote ya ugonjwa,
    Wasiliana naye kwa WhatsApp: +2349046229159

    JibuFuta
  13. Halo watu wote, jina langu ni Marvelyn Larry. Kwa muda mrefu, mume wangu alikuwa akiishi katika ghorofa nyingine kutokana na shinikizo la kazi na tulifurahi sana pamoja ingawa alikaa mbali nasi kwa miezi kadhaa. Sikujua mwenzangu wa kazi tayari alikuwa na uhusiano naye jambo ambalo lilimfanya mume wangu anipe talaka bila kutarajia. Nilijua kuna kitu kibaya kwa sababu hatukuwahi kupigana au kubishana kiasi hicho ili kumfanya aondoke. Nilikuwa na kiwewe na natafuta msaada wa kukabiliana na hali hiyo iliyonipeleka kwa DR DAWN kutokana na sifa walizomwagiwa na watu mtandaoni. Tulizungumza kwa kirefu na aliniambia kila kitu nilichohitaji kujua kuhusu kile kilichotokea na utaratibu unaofaa wa kurekebisha matatizo. Alitimiza ahadi zake na kumrudisha mume wangu kwangu na mchakato wa talaka ukafutwa. Sasa mume wangu amerudi nyumbani kwetu na tuna furaha pamoja. Inashangaza sana jinsi watu wanaweza kusaidia watu wengine wakati wanahitaji. Anaweza kukusaidia pia. Mtumie tu ujumbe kupitia WhatsApp: +2349046229159
    Barua pepe: dawnacuna314@gmail.com

    JibuFuta