Nimeamua nimsaidie dada yetu ambaye ana tatizo la kuzoea mchezo wa kwenda kinyume. Kudandia ukuta.
Ni msomaji wangu, hivyo naomba nisitaje jina lake. SMS yake inasomeka:
Ni msomaji wangu, hivyo naomba nisitaje jina lake. SMS yake inasomeka:
Nimeolewa lakini sijazaa. Mume wangu ananipenda na mimi kumridhisha nimekuwa nikimpa kila anachotaka.
Akaendelea tena kuelezea maswahibu yake..
Moja ya vitu ambavyo aliniomba ni kuruka ukuta. Mwanzoni sikumuelewa lakini baadaye nilimkubalia.
Tulipoanza nilisikia maumivu lakini sasa nimezoea, ninapenda. Wakati mwingine tukiwa faragha, sitaki amalizie kwa kawaida, akipita na ukutani angalau kidogo ndiyo natosheka.
Kusema kweli nimezoea na sipendi kuacha, je, kuna athari kiafya baadaye?
0 comments:
Chapisha Maoni