Jumanne, Juni 24, 2014

MAANA YA HERUFI ZA MWANZO ZA MAJINA YENU


A; Haraka, Pupa ya Maisha
Wenye jina linaloanza na herufi ”A” ni Watu wanaopenda mambo makubwa, Wanajiamini, na wenye uwezo wa kutimiza malengo yao, Ni watu wenye tahadhari Katika kila jambo, Wachangamfu na wanaopenda Matukio. Wanapenda kuheshimiwa, Wanapenda mamlaka, Wana kiburi na ni Watu wenye hasira.

B; Inawakilisha Kazi, Pesa, Mapenzi, Ujenzi.
Wenye jina linaloanza na herufi “B” ni Watu Wakarimu , Waaminifu na Wenye kupenda kazi. Ni watu Jasiri, Shujaa na Wakatili katika vita au pale wanapotaka kulinda vyake au vilivyo katika himaya au Mamlaka yao.

C; Inawakilisha Vurugu, Ndugu, Kuchanganyikiwa.
Wenye jina linaloanza na herufi “C” ni Watu wa kubadilika badilika, Washindani, na hupenda kupigania Malengo yao wanayoyapenda. Ni watu Wabunifu, na wanaopenda Mawasiliano.

D; Inawakilisha Upole, Kuchelewa, Wazee, Cheo.
Wenye jina linaloanza na herufi “D” ni Watu wanaopenda Usawa, na Kufanya Biashara. Ni watu wanaopenda kuamrisha na wenye kupenda Usafi. Ni jeuri na wenye Msimamo.

E; Inawakilisha Kisomo, Maendeleo, Watoto.
Wenye jina linaloanza na herufi “E” ni Watu wenye roho nzuri, Wenye mapenzi, wenye huruma, wenye kupenda uhuru katika mapenzi na wachangamfu sana. Kinyume na hivyo ni watu wasiotegemewa na vigeugeu.

F; Inawakilisha Kusahau, kupoteza,Kusoma mbali.
Mwenye jina linaloanza na herufi “F” ni Watu wenye mapenzi, huruma, Roho nzuri na Uwezo wa kuwafariji watu. Ni Watetezi wa Watu na wenye huzuni na hisia kali wanapoudhiwa, Lakini ni wazito sana kufanya maamuzi ya haraka.

G; Inawakilisha Ndoa, kuunganisha,Mikutano, kufuzu Baada ya Ndoa.
Mwenye jina linaloanza na herufi “G” ni Watu wenye Imani ya kidini na nguvu za kiroho, Wana Vipaji vya kubuni na uwezo wa kutatua matatizo ya watu. Ni watu wenye hisia kali, Wanaopenda kusoma au kujiendeleza, wakati mwingine wapenda upweke, na wakaidi kukubali ushauri wa watu wengine.

H; Inawakilisha kupoteza, kupata tena,Mafanikio, kutumia nguvu au kesi au vurugu.
Wenye jina linaloanza na herufi “H” ni Watu wenye ubunifu na nguvu katika biashara, hupata faida kubwa kutokana na jitihada na nguvu zao binafsi, ni watu wanaojituma sana. wenye mawazo na fikra nyingi mengi lakini wana udhaifu wa kuwa wachoyo na wabinafsi.

I; Inawakilisha kubadilisha, kubadilika,kusafiri, Ugenini.
Wenye jina linaloanza na herufi “I” ni Watu wenye kupenda Sheria na Mpangilio, wana Huruma na Utu. Ni Viumbe ambao wanajiamini sana katika mambo yao lakini wana hasira za Haraka Haraka.

J; Inawakilisha kuongoza, Siasa,Biashara, Ukubwa.
Wenye jina linaloanza na herufi “J” ni Watu Wenye matamanio, Wakweli, Wakarimu, Waerevu na Wajanja, Wasiokubali Kushindwa na kutokana na tabia yao hiyo Hupata mafanikio Makubwa. Kasoro yao ni kwamba kuna wakati wanakuwa wavivu na waliokosa mwelekeo.

K; Inawakilisha kufuzu, kupitia,rafiki, kuungana.
Wenye jina linaloanza na herufi “K” ni Watu wenye Ujeuri, wenye msimamo thabiti, Mashuhuri na wenye uwezo wa kushawishi na kuamsha hisia za Watu, wana uwezo wa utambuzi ambao watu wengine hawana. Ni watu wasioridhika na hali ya kimaisha.

L; Inawakilisha kupingwa, kupingana,mafanikio baada ya shida na Safari.
Wenye jina linaloanza na herufi “L” ni Watu wa Vitendo, wenye hisani na wanaopenda kujipanga vizuri kimaisha, wajihadhari na ajali za mara kwa mara kubwa na ndogo.

M; Inawakilisha Mabadiliko baada ya kurejea au baada ya Talaka.
Wenye jina linaloanza na herufi “M” ni Watu Wenye kujiamini sana, wachapa kazi na hupata mafanikio, Ni watu waropokaji, wenye haraka na wepesi sana kukasirika.

N; Inawakilisha kukwama kipesa,mafanikio baada ya kurejea kazini au nyumbani.
Wenye jina linaloanza na herufi “N” ni Watu wenye ubunifu, hisia kali na hupenda kuwasiliana, kasoro yao kubwa ni kwamba wana wivu sana.

O; Inawakilisha Uzazi wa watoto, kuleta bahati, Ushindi kimchezo au kimasomo.
Wenye jina linaloanza na herufi “O” ni Watu wenye subira, wavumilivu na wenye bidii ya kusoma. Ni watu wenye kupenda kutumikia jamii na wenye uwezo mkubwa wa kudhibiti hisia.

P; Inawakilisha kupotelewa, Kuuguliwa, Wizi na Masomo ya Juu.
Wenye jina linaloanza na herufi “P” ni Watu wenye Uwezo wa kuamrisha na Hekima Kubwa. Wana nguvu za kiroho lakini wanapenda sana kujitumbukiza katika mambo ya watu.

Q; Inawakilisha Ndoa, kufuzu baada ya kurejeana
Wenye jina linaloanza na herufi “Q” ni Watu wenye kupenda mambo ya asili, Ni watu wasiolezeka au kutambulika tabia zao kirahisi na wana uwezo wa kuonyesha vitu visivyojulikana, hata hivyo ni watu walioopooza sana.

R; Inawakilisha Kuporomoka na kupata nguvu, kusafiri mbali na kushinda.
Wenye jina linaloanza na herufi “R” ni Watu wenye Uvumilivu, wenye huruma lakini wana hasira za haraka, muda wote wanakuwa ni watu wanaopenda Amani na hawataki ugomvi.

S; Inawakilisha kufuzu Ugenini, Kupata mali na Magari.
Wenye jina linaloanza na herufi “S” ni Watu wenye mvuto mkali wa kuleta utajiri. Ni watu wenye maamuzi ya Ghafla na hupenda mageuzi makubwa.

T; Inawakilisha Kupata Utajiri na kujenga, Kesi, baadae kushinda
Wenye jina linaloanza na herufi “T” ni Watu wenye kupenda ushauri wa kiroho, wanatumia nguvu za ziada kusaidia watu na hupata mafanikio baada ya muda mrefu. Ni watu wenye hisia kali sana na wepesi kushawishika.

U; Inawakilisha Ushindi wa Pesa, Kunyanganywa mali na Kesi za mara kwa mara.
Wenye jina linaloanza na herufi “U” ni Watu wenye bahati kubwa kwa ujumla, wanapenda uhuru katika mapenzi, lakini ni wabinafsi wenye tamaa na waliokosa maamuzi

V; Inawakilisha Utajiri wa Bahati Nasibu, kupewa, kuokota na ndoa nyingi.
Wenye jina linaloanza na herufi “V” ni Watu wachapa kazi wenye bidii na wasiochoka, hata hivyo ni watu wasiotabirika.

W; Inawakilisha, Pesa, Kazi, ni rahisi kusaidia watoto wengi.
Wenye jina linaloanza na herufi “W” ni Watu wawazi na wachangamfu kupita kiasi na wenye uwezo wa kumtambua mtu mwema na mbaya. Ni watu wenye Tamaa na hufanya mambo ya hatari.

X; Inawakilisha Kupata uzazi, Kupata jengo na Utajiri
Wenye jina linaloanza na herufi “X” ni Watu wasiopenda kuwekewa vipingamizi katika mambo yao, wanapenda anasa na ni rahisi kujiingiza katika mambo yasiyofaa na kujitoa uaminifu.

Y; Inawakilisha Kupata Bahati, Uandishi, Watoto na Uongozi.
Wenye jina linaloanza na herufi “Y” ni Watu wenye kupenda uhuru na hawapendi kupingwa jambo lao lolote. Ni watu wanaokosa uamuzi na huwasababishia wao kupoteza bahati zao katika maisha.

Z; Inawakilisha kuuguliwa Watoto, vitu kupotea, Shida za Pesa na Kazi.
Wenye jina linaloanza na herufi “Z” ni Watu wenye kupenda matumaini na Amani. Ni wenye msimamo mkali ila wanashauriwa kufikiria kabla ya kuamua jambo.

7 comments:

  1. USTADHI SWALI : Eti watu wanaopenda sana kimziki watu kama hawa hutawaliwa na jini la aina gani?
    Na kama akimuhita kumsaidi atumie njia gani kuwa nae ?

    JibuFuta
  2. Naomba msaada maana ya jina jeyrine

    JibuFuta
  3. USHUHUDA WA JINSI NILIYOPATA MKOPO WANGU $ 300,000.00USD KUTOKA KWA KAMPUNI YA FEDHA WIKI ILIYOPITA Barua pepe kwa jibu la haraka: drbenjaminfinance@gmail.com

    Je! Unahitaji mkopo kuanza biashara au kulipa deni yako {Dr.Benjamin Scarlet Owen} pia anaweza kukusaidia na ofa ya mkopo halali. Pia amesaidia wenzangu wengine na fedha za mkopo. Pata kadi yako ya ATM tupu au Kadi ya CREDIT ulete kwa mlango wako ambao unafanya kazi katika mashine zote za ATM ulimwenguni kote kwa msaada wa BENJAMIN FEDHA YA MKOPO kadi za ATM zinaweza kutumiwa kutoa kwenye Mashine za ATM au swipe, kwenye maduka na POS. hutoa kadi hizi kwa wateja wote wanaovutiwa ulimwenguni, Ikiwa unahitaji mkopo bila gharama / mafadhaiko yeye ndiye mkopeshaji wa mkopo sahihi ili kufuta shida zako za kifedha na shida leo. FEDHA YA MIKOPO YA BENJAMIN inashikilia habari yote juu ya jinsi ya kupata pesa haraka na bila uchungu kupitia WhatsApp +19292227023 Barua pepe drbenjaminfinance@gmail.com

    JibuFuta
  4. Kwa zaidi ya miaka 13 ya ndoa sikuweza kuzaa, naendelea kuharibika hata nikipata mimba, madaktari wote hawakuweza kunisaidia, hadi dada yangu akanielekeza kwa Dr DAWN, ambaye alinisaidia nikapata ujauzito na sasa hivi kuwa na mtoto mzuri wa kike,
    Anasaidia pia marafiki zangu wengi niliowaelekeza, Dr DAWN ni baraka kwa kila mtu anayewasiliana naye,
    *Kama unataka kupata mimba.
    *Ukitaka kuacha kuharibika kwa mimba.
    *Ukitaka kumrudisha mpenzi wako.
    *Kama unataka mume/mkeo arudishwe.
    *Kama unataka kurejesha mali yako iliyoibiwa au Pesa.
    *Ukitaka kutibu aina yoyote ya ugonjwa,
    Wasiliana naye kwa WhatsApp: +2349046229159

    JibuFuta