Ijumaa, Septemba 12, 2014

KUTANA NA SHABIKI WA MPIRA ALIYEVUNJA REKODI YA DUNIA, KIPOFU ILA HAKOSI MECHI

Shabiki huyu ni kupofu wa macho na amezaliwa hivyo, cha ajabu ni kwamba yeye hua anahudhururia karibu michezo yote ya klabu aipendayo ya Bohemians 1905 huku akiongozwa na mbwa wake.
Shabiki huyu anadai hutumia hisia kujua kinachoendelea na kelele za kiwanjani humfanya ajihisi kama anaona.
Wewe na macho yako umehudhuria mechi ngapi za klabu unayodai unaipenda(naongelea klabu za nchini kwako)

0 comments:

Chapisha Maoni