Matokeo ya uchaguzi wa mkuu Chadema, Mh. Freeman
Mbowe ameibuka Kidedea nafasi ya Mwenyekiti kwa kura 789 dhidi ya
mpinzani wake Gambaranyera Mongateo ambaye amepata kura 20. Jumla ya
kura zote zilikuwa 811 ambapo 2 zimeharibika. Upande wa Zanzibar
nafasi ya Makamu mwenyekiti Said Issa Muhamed kaibuka mshindi kwa kura
645 zidi ya mpinzani wake Hamad Yusuf aliyepata kura 163 jumla ya kura
zote 811 ambapo kura 2 zimeharibika
0 comments:
Chapisha Maoni