Ijumaa, Septemba 12, 2014

DIEGO COSTA ASHINDA TUZO YA MCHEZAJI BORA PREMIER LEAGUE

Diego Costa ameshinda tuzo ya mchezaji bora Premier League kwa mwezi August kwa kuwapiku Cesc Fabregas (Chelsea), Nathan Dyer (Swansea),Gylfi Sigurdsson (Swansea) na Andreas Weimann (Aston Villa).
Mourinho ambaye ndiye anayekinoa kikosi cha Chelsea amekosa tuzo kama hiyo kwa upande wa makocha na aliyechukua tuzo hiyo ni meneja wa Swansea City Garry Monk: kwa upande wa mameneja wengine waliokua wakiwania tuzo hiyo ni Paul Lambert (Aston Villa) na Mark Hughes (Stoke)

0 comments:

Chapisha Maoni