Ijumaa, Septemba 12, 2014

KIJANA AKAMATWA NA KETE 19 ZA COCAINE IRINGA

Kaimu kamanda wa jeshi la polisi mkoani Iringa ACP Pudeshiana Protas amesema askari polisi wakiwa doria maeneo ya barabara mbili Manispaa ya Iringa wamemkamata Alein Aldo mkazi wa eneo la Kihesa akiwa na kete 19 za madawa ya kulevywa aina ya Cocaine yakiwa kwenye mfuko wa suruali aliyovaa chanzo kikiwa ni kujitafutia kipato.

0 comments:

Chapisha Maoni