Kati ya mambo makubwa leo katika mitandao ya kijamii hasa Facebook na Twitter ni taarifa ambazo mimi pia nimezipokea kwa mshangao na masikitiko makubwa, ni taarifa kuhusu mauaji ya mwanadada Bettie Ndejembi ambaye amefariki baada ya kubakwa hadi kupoteza fahamu.
Kabla ya kupoteza uhai wake Betty alikutana na manyanyaso makubwa
kwenye mtandao wa kijamii wa Twitter ambapo alitukanwa matusi mazito ya
nguoni. Inasemekana chanzo cha matusi hayo ni kauli ya marehemu kwamba
alidaiwa kusema Pinda hawezi kuwa Rais.
Timu yetu ya Fichuo Tz inaendelea kulifuatilia suala hili kwa undani zaidi, endelea kutufatilia upate habari zaidi.
0 comments:
Chapisha Maoni