Hii inaweza kuwa habari njema sana kwa wamama wajawazito na ambao wanajifungua kutokana na kutukanwa sana na wauguzi waendapo hospitali au katika vituo vya afya kupata huduma. Serikali imesema itawachukulia hatua kali za kisheria ikiwa ni pamoja na
kuwafukuza kazi baadhi ya wauguzi na wataalam wa afya ambao watabainika
kuwatolea lugha chafu baadhi ya akina mama wakati wa kujifungua.
0 comments:
Chapisha Maoni