Jumatatu, Julai 07, 2014

LIVERPOOL NAO WAMETAMBULISHA JEZI ZAO ZA 2014/2015

Liverpool nao wametambulisha uzi wao mpya wa ugenini utakaotumika kwa msimu 2014/15.
Utambulisho wa jezi hujumuisha mastaa wa klabu ila Suarez hayumo kwenye picha hiyo bali Steven Gerrard, Raheem Sterling na Daniel Sturridge ndio waliotambulisha uzi huo chaguo la tatu kwa klabu hiyo ya Anfield.

0 comments:

Chapisha Maoni