STAA wa Bongo Fleva, Nasib Abdul 'Diamond Platnumz' amefanya kufuru kwa kumzawadia gari mama yake mzazi, Sanura Kassim 'Sandra'.
Diamond amemzawadia gari mama yake wakati wa bethidei ya kutimiza
miaka 55 hapo jana katika hafla iliyohudhuriwa na mastaa kibao.
Gari lililotolewa ni Toyota Lexus New Model yenye thamani ya milioni
38.1. Diamond amekabidhi gari hilo kupitia kwa meneja wake, Babu Tale
wakati yeye akiwa nje ya nchi.
0 comments:
Chapisha Maoni