Mfalme George V1 aliyetawala Uingereza kuanzia mwaka 1895 hadi
1952 alikuwa na kigugumizi. Kutokana na tatizo hilo, alikwepa na alikuwa
na hofu kubwa ya kuzungumza mbele ya umma jambo ambalo haliepukiki
katika nchi ya kifalme.
Mwaka 1925, kabla ya kuwa mfalme, alitoa hotuba
ya kufunga maonyesho ya kitaifa jijini London. Hotuba yake
iliwachanganya wengi na kumfedhehesha kiongozi huyo kutokana na
kigugumizi na tangu hapo aliamua kumtafuta mtaalamu wa kuzungumza.
0 comments:
Chapisha Maoni