Alhamisi, Mei 08, 2014

KIKOSI CHA BRAZIL KOMBE LA DUNIA 2014

Wakati tukielekea kubata burudani ya nguvu kutoka kwa vigogo wa soka duniani katika FIFA 2014, baadhi ya timu tayari zimeanza kuchimba mikwara kwa vikosi vyao, kati ya timu hizo ni pamoja na Brazil.
Neymar Jr. muhimu, lakini Kakà, Robinho, Ronaldinho Gaúcho & Coutinho, Sandro, Lucas Leiva na Lucas Moura, Diego Alves ,Rafinha, Dede, Miranda, F.Luis, Marquinhos, Pato wote nje.
Unadhani kwa kikosi hichi Brazil watatwaa Kombe la Dunia, na nani unadhani kocha Scolari kafanya kosa kumuacha?

0 comments:

Chapisha Maoni