Jumatano, Mei 07, 2014

MWANAMUZIKI KEISHA AJIFUNGUA MTOTO WA KIUME

Msanii wa Bongo flava anafahamika kwa jina la Keisha aka Khadija Shaban aliwahi kutmba na ngoma zake kibao kama amejifungua mtoto wa kiume katika hospitali ya Mount Mkombozi Kinondoni, jijini Dar es salaa.
Hadi sasa msanii huyo ataukuwa na watoto wawili akizungumza akiwa hospitalini hapo
Nimejifungua mtoto mwingine wa kiume katika hospitali ya Mount Mkombozi, namshukuru Mungu nimejifungua salama na mtoto anaendelea vizuri.
alieleza Keisha kwa furaha

0 comments:

Chapisha Maoni