Jumatano, Mei 07, 2014

HIZI NDIO SIFA ZA MWANAUME ATAKAYEFANIKIWA KUUTEKA MOYO WA JOKATE 'KIDOTI'

Mwanamitindo, filamu na muziki Jokate Mwegelo amefunguka kuhusu suala lake la kimahusiano akitoa sifa za mwanaume anayemtaka, Jokate 'Kidoti' amesema anapenda mwanaume ambaye atajua kutafuta fedha kwa nguvu zote, awe anajua kubembeleza na awe na nidhamu kwa wazazi wake.
Sifa ya mume ninayemtaka, anapaswa kuwa mtafutaji wa fedha, sipendi mwanaume asiyependa kutafuta, awe anajituma kwa kazi zake na kwa mpenzi au familia yake na pia ajue kunibembeleza
alisema Jokate.

0 comments:

Chapisha Maoni