1.Muda mchache sana
huutumia na wewe. Hii huwa tofauti na kipindi cha mwanzo cha mahusiano
yanapoanza. Ambapo muda mwingi hupenda kuwa karibu yak. Kukusikia kama
si kukuona kabisa.
2.Hana hamu nawe ya kimapenzi tena. Tofauti na mwanzo au ilivyozoeleka katika mahusiano yenu. Kama yeye alikuwa akikuhitaji faragha, basi sasa hata kama ni wewe ndiye unemuhitaji basi atakujibu amechoka.
3.Atakuwa anakukwepa. Atakwepa mawasiliano nawe atakwepa kuonana na wewe atakwepa majukumu yake ya kawaida aliyokuwa anakufanyia siku zote kipindi mnaanza mahusiano
4.Atakuwa mkali tofauti na mwanzo. Hathamini tena kukubembeleza pale atakapoona amezidisha ukali katika sauti yake. Hathamini chozi lako hata ukilia mbele yake.
5.Hasira za haraka zitakuwa juu yake. Hii inatokana na kutafuta ufanye kosa dogo ili akuache mazima hata wakati mwingine si kweli kwamba ulichomtania kitakuwa kimemuudhi kweli
6.Atabadilisha muonekano wake yaani kama ni nywele atabadilisha style na nguo atapenda kununua mpya mara kwa mara ili awavutie wanawake wengine
7.Simu yake haitawekwa chini kama ikiwekwa upande wa phone book, picture, call log au msg itakuwa na pasword lock hivyo utaambulia patupu.
Au usipokuta pasword basi inbox utaikuta empty na call log pia kama vile hukumtumia msg tangu asubuhi hata zako kazifuta pia. Si unajua delete all?
8.Kama akiwa ametoka na rafiki zake na upo naye mbali hata ukimpigia simu hatopokea na hata baada yadakika kumi kupita hatokutafuta. Wakati mwanaume yeyote huitazama simu yake kila baada ya dakika kumi
9.Busy kila mara. Atakuwa busy mara kwa mara tofauti na zamani hata kama hana anachokifanya lakini ukimtafuta atakuambia yupo busy
10.Haoni aibu kumsifia mwingine mbele yako kuwa ni mzuri au ana shape nzuri kwa kuwa hajali tena hisia zako

0 comments:
Chapisha Maoni