Mahakama ya Zimbabwe imepiga marufuku adhabu ya kuwachapa watoto shuleni na hata nyumbani.
Uamuzi huo unajiri baada ya mzazi mmoja kulalamika kwamba mwanawe katika darasa la kwanza alikuwa na majeraha mabaya baada ya kuchapwa na mwalimu.
Linah Pfungwah alisema kuwa mwanawe aliadhibiwa kwa kushindwa kutoa kitabu chake kwa wazazi kutiwa saini kama thibitisho la kwamba alifanya kazi yake ya shule.
Mahakama ya katiba inatarajiwa kuthibitisha uamuzi huo.

0 comments:
Chapisha Maoni