Jumapili, Aprili 13, 2014

AIBU...WACHEZA UCHI CLUB USIKU...WAVURUMUSHWA NA POLISI



Ilitokea pata shika katika klabu moja mashuhuri sana hapa jijini dar es  salaam pale watu walipopandwa na mzuka usiku wa manane na kujikuta wakivua nguo zote na kuanza kucheza uchi wa mnyama.
Warembo kutoka sehemu mbalimbali za jiji walikuwa wakiwavulia wanaume chupi na kujitia madole mbele yao hili wapate kupewa pesa kama zawadi ya kuonesha ufuska huo.

Ilipopata saa nane na nusu usiku, polisi waliivamia klabu hiyo na kuwaweka raia wote chini ya ulinzi. Kwa madai yao kitendo cha kucheza namna ile kingeweza kusababisha vurugu ama chochote kinachofanana na hicho, kwani wanaume wangeweza kuwagombania wanawake hao waliokuwa uchi

0 comments:

Chapisha Maoni