Alhamisi, Juni 12, 2014

BRAZIL NI SOKA+NGONO

Hatimaye fainali za kombe la dunia zimewasili hii leo June 12, 2014, huko nchini Brazil swali ni kuwa mabingwa hao wa kombe la Mabara 2013 wako tayari kuhakikisha wanakabiliana na changamoto zote kutoka kwa mashabiki wanaopinga fainali hizo.
Hayo yakiendele wanawake wa nchi ya Brazil wamejitokeza kwa wingi kufanya biashara ya ngono katika mtaa wa Arena de Sao Paulo.
Wanawake hao wamesema watahakikisha wateja wao wakubwa watakuwa mashabiki kutoka nchini Uingereza kwa kuwa wametoka mbali kuliko wazawa wanchi hiyo.

0 comments:

Chapisha Maoni