Timu ya Algeria imepanda hadi nafasi ya 15 duniani mwezi huu. Kikosi
hicho cha Desert Fox ,ambacho mwezi juni kilichukua nafasi ya Ivory
Coast kama timu ilio katika nafasi bora zaidi barani Afrika,ilipanda
nafasi tano juu.
Timu ya Cape Verde pia ilijipatia nafasi nzuri
baada ya kupanda hadi nafasiu ya 33 duniani huku ikiwa katika nafasi ya
nne barani afrika. Lakini ni kikosi cha togo kilichopanda zaidi na
kufikia nafasi 73 huku kikiorodheshwa miongoni mwa mataiufa kumi bora
barani Afrika.
1. Algeria (15) 2. Ivory Coast (25) 3. Tunisia (31)
4. Cape Verde (33) 5. Ghana (35) 6. Egypt (38) 7. Cameroon (40) 8.
Senegal (41) 9. Nigeria (42) 10. Togo (52)
0 comments:
Chapisha Maoni