Vitendo vya watu kujifanya watumishi wa idara
mbalimbali hapa nchini vimekuwa vikiendelea kukithiri, baada ya mtu moja
katika kijiji cha Iyumbu wilaya ya Ikungi mkoani Singida kujifanya
daktari na kusababisha kifo cha mgonjwa kwa kumwekea chupa za maji tisa
zikiwa zimechanganywa na dawa pamoja na vidonge sita ambavyo
havikufahamika maramoja.




0 comments:
Chapisha Maoni