Msemaji wa Vatican (Roman Catholic) ametangaza rasmi leo kwamba ujio wa pili wa Yesu, mtoto wa pekee wa Mungu, unaweza usitokee tena, lakini amewahimiza wafuasi wa kanisa Katoliki kuendelea na imani yao, bila kujali taarifa hiyo.
Kardinali Giorgio Salvadore aliiambia WWN kwamba hii ikiwa ni miaka 1981 ya maadhimisho ya mwisho ya kumsubiri Kristo kurudi tena duniani.
Kardinali Giorgio Salvadore aliiambia WWN kwamba hii ikiwa ni miaka 1981 ya maadhimisho ya mwisho ya kumsubiri Kristo kurudi tena duniani.
Kwa jinsi inavyoonekana tunaona kwamba Yesu hatorudi tena!.
Alisema.
It’s been ages like. He’s probably flat out doing other really good things for people somewhere else.
“It’s
been ages like. He’s probably flat out doing other really good things
for people somewhere else.” - See more at:
http://www.eacvision.com/news/jesus-is-not-coming-back-roman-catholic-leaders-said/#sthash.NG7EEo1R.dpuf
Karibu miaka elfu mbili iliyopita, Yesu aliwaahidi wanafunzi wake kwamba atarudi tena, fuatilia kitabu kitakatifu, katika sura ya Yohana 14:1-3 ya Biblia:
Kwa baba yangu kuna makao mengi, nami nakwenda kuwaandalia ili nilipo mimi nanyi muwepo. Wakati kila kitu kikiwa tayari, ndipo mimi nitakuja kuwachukua ninyi
Vatican ilitetea ahadi ya Yesu kuvunjwa, wakidai:
Pengine alikunywa mvinyo wakati akinena hayo
Kuwa na uwezo wa kugeuza maji kuwa divai kuna mazuri yake na mabaya yake
Aliongeza Kardinali Salvadore.
Sote huwa tunaweka ahadi tusizoweza kuzitimiza pale ambapo tunakuwa tumelewa, Yesu pia hakuwa na tofauti
Akinukuliwa na Fichuo Tz Blog Kardinal Salvadore amesema kuwa sasa kanisa litakuwa likizingatia umuhimu wa kujenga sifa yake duniani kote, lakini kuweka akili matumaini kwa ujio wa mkombozi kwa mara ya pili.
SOURCE: EAC VISION
SOURCE: EAC VISION
0 comments:
Chapisha Maoni