Hii ninahaki ya kuiita breaking news cause hakuna aliyekuwa na mawazo ya kwamba eti ipo siku chuji atakwenda kusakata kabumbu katika timu ya Azam FC! Sasa kabla ya mengine nataka nikukumbushe kitu kuhusiana na stori waliyoitoa Yanga SC Jumatatu, Juni 23, 2014 ikiwataja wachezaji 11 ambao hawatovaa uzi wa Yanga katika msimu ujao kwa maana kwamba wachezaji hao 11 wamemaliza muda wao na kumalizana na uongozi hivyo wapo huru kujiunga vilabu mbalimbali:
Wachezaji hao ni:
Wachezaji hao ni:
1. David Luhende
2. Athuman Idd "Chuji"
3. Geroge Banda -U20
4. Yusuph Abdul -U20
5. Rehani Kibingu -U20
6. Hamisi Thabiti
7. Reliants Lusajo
8. Bakari Masoud - U20
9. Shaban Kondo
10. Abdalllah Mguhi "Messi" U-20
11. Ibrahim Job
Sasa asubuhi ya leo Aliyekuwa kiungo wa Yanga SC, Athumani Iddi 'Chuji' ameonekana akiwa mzoezini na klabu bingwa ya Tanzania Bara, Azam FC katika uwanja wa timu hiyo Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam.
2. Athuman Idd "Chuji"
3. Geroge Banda -U20
4. Yusuph Abdul -U20
5. Rehani Kibingu -U20
6. Hamisi Thabiti
7. Reliants Lusajo
8. Bakari Masoud - U20
9. Shaban Kondo
10. Abdalllah Mguhi "Messi" U-20
11. Ibrahim Job
Sasa asubuhi ya leo Aliyekuwa kiungo wa Yanga SC, Athumani Iddi 'Chuji' ameonekana akiwa mzoezini na klabu bingwa ya Tanzania Bara, Azam FC katika uwanja wa timu hiyo Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam.
0 comments:
Chapisha Maoni