Alhamisi, Julai 03, 2014

AISEE HUWEZI AMINI HII KITU

Katika hali ya kushangaza lakini ambayo imeanza kuzoeleka katika maeneo mengi ya jiji la Dar es salaam chanzo kimeshuhudia chemba ya maji taka inayofurika mbele ya kituo cha afya katikati ya jiji eneo la Faya mtaa wa Swahili na kusababisha kero na hatari ya magonjwa kwa wananchi katika maeneo hayo.

0 comments:

Chapisha Maoni