Ijumaa, Juni 13, 2014

MWIMBAJI WA INJILI HAPPY KAMILI AHUKUMIWA KWENDA JELA MIEZI MITATU

Habari zilizotifikia hivi punde kutoka mkoani Mbeya zinaeleza kuwa mwimbaji wa muziki wa injili ambaye pia ni mke wa mchungaji Kamili wa TAG (Tanzania Asseblies of GOD), Happy Kamili amehukumiwa kifungo cha miezi mitatu jela baada ya kusababisha ajali kwa kugonga gari lililokuwa nyuma yake wakati akirudisha nyuma gari lake, tukio lililotokea mwezi januari mwaka 2014.

0 comments:

Chapisha Maoni