Jumapili, Juni 08, 2014

MSIKILIZE HAPA MTABIRI AKIELEZA KUWA VIFO VYA MASTAA VITAENDELEA MPAKA MWAKANI MWEZI APRILI

Ndani ya wiki tatu tu tayari wasanii wanne wamekwisha poteza maisha yao katika tasnia ya maigizo na filamu Tanzania ambao walikuwa ni nyota na tegemeo kwa tasnia hiyo kwa kipindi kijacho, alianza Adam Kuambiana, kabla hata hajasahaulika akafariki Recho Haule kisha akafuata George Otieno 'Tyson' na kisha usiku wa kuamkia leo amefariki msanii wa siku nyingi na mchekeshaji nguli Mzee Small, sasa kufuatia hayo mtabiri wa Maalim Hassan Yahya ametilia mkazo utabiri wake kwamba vifo vitaendelea mpaka mwakani mwezi april...msikilize hapa>>>

0 comments:

Chapisha Maoni