Jumatatu, Juni 09, 2014

HII KAULI YA MC WA TUZO ZA MTV MAMA INAMHUSU WEMA SEPETU?

Kama ilivyo kwa tuzo zozote maarufu duniani, mara nyingi ma’MC wa show hizo huwa wanapenda kumwaga maneno mengi sana ya utani, ila hii ni kali zaidi, bila kujijua mwenyewe wakati akiwa anaendelea kutangaza, alitokea kuwaponda watu maarufu duniani, akiwemo Kim Kardashian ambaye anajulikana kama ni mwanamke mwenye umbo zuri zaidi, “I’ve seen beautiful women here with butts that make ‘s look like(“nimekuja hapa nimeona wanawake wenye maumbo mazuri, yanavyomfanya Kim Kardashian aonekane kama Myle Cyrus”) – alitamka wazi wazi MC wa tuzo hizo za MTV MAMA.

0 comments:

Chapisha Maoni