Jumamosi, Mei 17, 2014

YANAYOENDELEA MCHANA HUU BAADA YA KUAMBIANA KUFARIKI DUNIA

Adam Kuambiana enzi za uhai wake, hapa Adam Kuambiana Akisoma maoni na pongezi kutoka kwa wadau wa filamu Tanzania
Mwili wa Marehemu Adam Kuambiana ukiwekwa kwenye gari tayari kupelekwa Muhimbili kuhifadhiwa.
Hospitali  ya Mama Ngoma iliyopo Mwenge jijini Dar es Salaam alikofia Msanii Kuambiana.
Msanii aliekuwa akicheza filamu moja na marehemu katika Hoteli ya Silver Rado iliyopo Sinza kwa Remy, Dar akilia kwa uchungu nje ya Hospitali ya Mama Ngoma leo mchana huu.
Wasanii wakilia kwa uchungu nje ya Hospitali ya Mama Ngoma leo mchana huu.

0 comments:

Chapisha Maoni