Jumamosi, Mei 17, 2014

KUTOKA INSTAGRAM...REHEMA FABIAN ATUPIWA MATUSI BAADA YA KUTUPIA PICHA YA UTUPU..IKO HAPA

Mshiriki wa Miss Kiswahili 2009, Rehema Fabian ameonekana hamnazo baada ya kutupia picha ya nusu utupu katika mtandao wa kijamii wa Instagram kisha kuambulia mvua ya matusi.
Picha hiyo ilimuonesha akiwa amejiziba usoni na kuacha wazi sehemu kubwa ya mwili wake ambapo baadhi ya wafuasi wa mtandao huo walimkalisha kwa kumpa za chembe.

Huwezi kuwa mtu unayejiheshimu katika jamii halafu ukatupia picha ya namna hii katika mtandao wa kijamii
alichangia mmoja wa wafuasi wa Instagram.

0 comments:

Chapisha Maoni