Jumamosi, Mei 17, 2014

VICHWA VYA HABARI KUBWA ZA MICHEZO JUMAMOSI YA LEO KATIKA GAZETI LA CHAMPION

Leo ikiwa ni jumamosi ya mei 17, zipi stori nyingi za kimichezo katika magazeti ya michezo, lakini hivi ni vichwa vya habari katika gazeti la Champion la leo jumamosi: Kocha mzungu aweka rekodi Yanga, haijatokea kwa miaka 70: Nooj atema kikosi chote cha TFF: Hassan Dalali awamaliza mpira wa pesa: Bocco, Balou mikononi mwa Yanga: Wagombea Simba wapewa onyo: Messi amalizana na Barcelona: Mourinho atua Ubelegiji: Arsenal yaandaa basi la ubingwa leo: Lampard apunguze mshahara: Ronadinho amsapoti Messi: Rodgers shavu kwa Suarez...

0 comments:

Chapisha Maoni