Mcheza Tenesi Nchini Marekani Serena Williams amedakwa na camera za mapaparazi akila bata katika Moja ya fukwe na rafiki zake wa karibu. Picha zilizotolewa na vyombo vya habari nchini Marekani zimewaacha midomo wazi watu wengi wakiwemo mashabiki wake katika mchezo uliompa jina kubwa duniani, mchezo wa tennis, lakini ikumbukwe pia si mara ya kwanza kuonekana kihasara namna hii japo hutokea kwa ndra sana...
0 comments:
Chapisha Maoni