Jumamosi, Mei 17, 2014

MWILI WA ADAM KUAMBIANA WAHIFADHIWA MUHIMBILI MCHANA HUU, HAKUNA UTULIVU TENA, VILIO VYATAWALA

Mwili wa Marehemu Adam Kuambiana ukiwa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili kuhifadhiwa leo mchana huu
Rais wa Bongo Movies, Steve Nyerere akiwa katika sura ya mshangao.
Wasanii wakilia kwa uchungu nje ya Hospitali ya Taifa ya Muhimbili mchana wa leo.

0 comments:

Chapisha Maoni