Jumatano, Aprili 23, 2014

TUNDU LISSU KIBOKO... AIPASUA TENA CCM

Kwa kauli hii ya Tundu Lissu ni kweli bungeni kuna taarabu, hebu soma ujumbe huu alioutuma katika ukurasa wake wa facebook
Mbona hadi sasa CCM wanakwepa kuwajibu Maaskofu wa Kanisa Katoliki?............... Thubutu yao! angekuwa Sheikh Ponda wangemuita Mchochezi na kumsweka ndani, hata pia angekuwa Askofu Kakobe peke yake, CCM wangemtanguliza mpuuzi yeyote yule mbele kama Tai Ili akapayuke kwenye Vyombo vya habari. Maaskofu 32 Nchi nzima! Hii namba ya hawa Maaskofu Imekaa vibaya kwa CCM, nyimbo zote kwishaaa! Wassira amenukuliwa na Gazeti moja akizungumza kwa Kigugumizi eti bado hajausoma Waraka huo! Mwiba umewachoma Kalioni................... Chezea hoja za UKAWA wewe!........... TANGANYIKA NA ZANZIBAR HURU KWANZA, TUMBO ZENU BAADAE!!!

0 comments:

Chapisha Maoni