PUNDA- ARIES (MACH 23- APR 20)
Hii ni wiki ambayo kama Kuna kazi unazozifanya kwa kushirikiana na watu basi watakugeuka au kukudhulumu. Rafiki yako mpendwa atakugeuka na kukufanyia kitu cha ajabu.

NG’OMBE – TAURUS (APR23 – MAY 20)
Leo fanya kila njia uwende kumwangalia mzazi wako hiyo ni neema kwako na kwa mzazi unayekwenda kumuona.Kama amefariki tembelea kaburi lake na kama halipo karibu mtembelee ndugu wa mzazi.
MAPACHA - GEMINI (MAY 23- JUN 23)
Kuanzia sasa kuna kila dalili kuwa mambo yako yatakunyookea licha ya kuonewa kijicho na wapinzani wako. Ili kuweka mambo sawa onana na wataalamu ili wakupe ushauri wa jinsi ya kukabiliana na hali hiyo.
KAA - CANCER (JUN 22- JUL 22)
Mpenzi wako mliokorofishana naye atakujia na kukuomba msahama, jihadhari naye kwani ni muongo na kuna kitu anakitaka kutoka kwako. Kabla ya kumkubali mchunguze kwanza kwa muda wa wiki.
SIMBA - LEO (JUL 23 –AUG 22)
Jumatatu ya leo kuna kila dalili kuwa mambo yako yatnaweza kukwama kwa kuonewa kijicho na maadui zako wako. onana na wahusika ili wakupe ushauri wa jinsi ya kukabiliana na hali hiyo.
MASHUKE - VIRGO (AUG 23- SEPT 23)

MIZANI - LIBRA (SEPT 24- OCT 23)
Mwezi huu mambo yako mengi yatakuwa na wasiwasi mpaka uwe unayasimamia wewe mwenyewe, lakini ukimuachia mtu ujue umeumia.marafiki na washirika wako siyo wakweli watakutapeli.
NGE - SCORPIO (OCT 24- NOV 22)
Wiki hii huko uendako kuna matatizo na yanataka wewe uwe jasiri, ulegevu wowote utakaonyesha hutaweza kufanikiwa. Hata ikibidi kupigana basi fanya hivyo ili kupata haki yako.
MSHALE - SAGITARIUS ( NOV 23 - DES 23)
Mambo yako yatakuwa mazuri kwa awamu, awamu ya kwanza utapata kidogo na inayofuatia itakuwa nzuri ili kuharakisha mambo hayo unatakiwa kuwaona wataalam ili wakusaidie.
MBUZI - CAPRICORN (DES 22 – JAN 20)
Siku ya leo Mawazo yako uliyonayo ni ya kupata mtoto au unamfikiria sana mtoto. Inaonekana una mipango ya kupata mpenzi mpya au kuoa na unategemea kupata barua au Ujumbe. Hapo ulipo una wasiwasi sana juu ya wazee wako na unapenda heshima yako iloyopotea ipatikane na wasiwasi ulionao ukuondoke.kuwa na subira yote yatakuwa.
NDOO –AQUARIUS (JAN 23 – FEBR 39)
Kwa siku ya leo Jambo linalokukabili ni safari unayotaka kwenda na una mawazo juu ya matatizo ya wazee wako. Una wasiwasi kwamba utakapokuwa haupo patakuwa na taabu ya wazee wao namna ya kupata huduma. Jaribu kuwasiliana na mtu wako wa karibu atakusaidia.
SAMAKI – PISCES (FEB 20- MACH 20)
Wiki hii utapata habari ndoa kuna mwanamke tajiri atakufuata na utanufaika na utajiri wake. Vilevile utapata habari ya mwanamke aliyejifungua mtoto wa kiume.

0 comments:
Chapisha Maoni