Jumatano, Septemba 18, 2013

SHANGA NA RANGI ZAKE NA MAANA YAKE KITANDANI

Rangi za shanga, kwa wale wanaopenda kuvaa shanga najuwa wengi mtakuwa mnafahamu rangi na maana zake lakini kwa wale wasiojuwa je ama wanaopenda kuvaa lakini wanajinunulia rangi yeyote na kwa wanaume wanaopenda wanawake zao wavae shanga ni kusisimuana tu je mnafahamu zinamaanisha nini haya sasa.
Katika swala la mahaba shanga hutumika kusisimuana haswa pale utakapompata mwanaume anayejua kuzitumia vizuri na unaweza kuvaa hata kumi ukitaka kuna wengine wanananunua rangi kama pink, blue, gold hizi rangi hazina maana kwenye sita kwa sita ni urembo tu kupendezesha kiuno.

rangi zenye maana kwenye sita kwa sita ni.

NYEKUNDU: Ukimkuta mwanamke amevaa shanga ya rangi hii unatakiwa kuelewa kwamba mwanamke huyu yupo kwenye hedhi, kwahiyo wewe fanya mengine lakini sio kutumbukia unless yeye mwenyewe amekuruhusu na wewe uwe na uwezo wa kutumbukia hata akiwa kwenye hedhi (kitu ambacho kiafya akishauriwi).
 
NYEUPE: Ukimkuta mwanamke amevaa shanga nyeupe hii humaanisha hana tatizo lolote litakalomfanya asikupe raha ya sita kwa sita, kwahiyo ukitaka tu muda wowote unapata.


NYEUSI: Ukimkuta mwanamke amevaa rangi nyeusi hii humaanisha ya kwamba yupo tayari kukupa raha za sita kwa sita lakini uwanja wake haujakatwa majani, kwahiyo chaguo ni lako kama unataka kutumia sikunzima kutafuta goli haya, ama kama utamsaidia kumkatia majani uwanjani vizuri zaidi ama kama huwezi yote basi mpe muda akate mwenyewe.
Hizo ndio rangi muhimu za shanga kwa wale waliokuwa hawajui, kwa uliyenitumia email kuhusu mada hii natumaini umeielewa vizuri.

1 comments:

  1. USHUHUDA WA JINSI NILIYOPATA MKOPO WANGU $300,000.00USD KUTOKA KWA KAMPUNI YA FEDHA WIKI ILIYOPITA Barua pepe kwa jibu la haraka: drbenjaminfinance@gmail.com

    Je! Unahitaji mkopo kuanza biashara au kulipa deni yako {Dr.Benjamin Scarlet Owen} pia anaweza kukusaidia na ofa ya mkopo halali. Pia amesaidia wenzangu wengine na fedha za mkopo. Pata kadi yako ya ATM tupu au Kadi ya CREDIT ulete kwa mlango wako ambao unafanya kazi katika mashine zote za ATM ulimwenguni kote kwa msaada wa BENJAMIN FEDHA YA MKOPO kadi za ATM zinaweza kutumiwa kutoa kwenye Mashine za ATM au swipe, kwenye maduka na POS. hutoa kadi hizi kwa wateja wote wanaovutiwa ulimwenguni, Ikiwa unahitaji mkopo bila gharama / mafadhaiko yeye ndiye mkopeshaji wa mkopo sahihi ili kufuta shida zako za kifedha na shida leo. FEDHA YA MIKOPO YA BENJAMIN inashikilia habari yote juu ya jinsi ya kupata pesa haraka na bila uchungu kupitia WhatsApp +19292227023 Barua pepe drbenjaminfinance@gmail.com

    JibuFuta