Mshambuliaji wa Uhispania Fernando Torres anarejea uwanjani chini ya wiki mbili baada ya kupata majeraha Torres alipata majeraha kichwani lakini baada ya mazoezi mwishoni mwa wiki iliyopita kuna uwezekano mkubwa arudi uwanjani wakati wa mechi kati ya Atletico Madrid na Bayer Leverkusen katika ligi ya mabingwa siku ya Jumatano usiku
0 comments:
Chapisha Maoni