Alhamisi, Machi 23, 2017

RAIS WA UJERUMANI AAPISHWA, KAZI YAKE NI IPI?

Rais mpya wa Ujerumani Frank-Walter Steinmeier ameapishwa katika hafla mjini Berlin。
Rais Steinmeier , 61, mwanasiasa wa chama cha Social Democratic na waziri wa zamani wa mambo ya nje amechukua wadhafa huo kutoka kwa Joachimm Gauck. 
Steinmeier sasa ataitumikia nchi kama rais wa 12, katika wadhifa huo usio na mamlaka makubwa, ambao jukumu lake kuu ni kuiwakilisha Ujerumani ndani na nje ya nchi.

0 comments:

Chapisha Maoni