Jumanne, Machi 14, 2017

RAIS MAGUFULI AMPIGIA SIMU DIAMOND AKIWA KATIKA KIPINDI CLOUDS TV

RAIS wa jamhuri ya muungano wa Tanzania amempongeza msanii wa bongo fleva Diamond Plutnumz kwa juhudi zake za kuitangaza nchi kupitia kazi ya muziki.
Rais ametoa pongezi hizo dakika chache zilizopita leo Machi 14, 2017 kupitia njia ya simu aliyopiga katika kipindi cha Clouse 360 kinachorushwa na kituo cha televisheni cha Clouse Tv wakati Diamond anafanya mahojiano na kipindi hicho.
Aidha Diamond Plutnumz amemshukuru Rais Magufuli kwa pongezi hizo.

0 comments:

Chapisha Maoni