TANZANIA DAIMA
- Mbowe: Waacheni waje...Awakaribisha Chadema Sophia Simba, Madabida, Msambatavangu na wengine waliotoswa CCM
- Bomoabomoa yazikumba nyumba 300 Dar
- Makonda kimya kimya...arejea kama alivyoondoka, aendeleza ugumu wa kuanika vyeti
- Maalim Seif: Prof. Lipumba Usinichezee
- DC Kasulu arejeshwa jeshini
- TFF yaitega CAF...Taifa Stars yatajwa bila nyota wa Z'bar, Thomas Ulimwengu aibua maswali.
- Serengeti Boys yaingia kambini
- Azam FC kupaa kesho, Yanga alhamis
MTANZANIA
- Sophia Simba afunguka
- Makonda aibuka, aonya wakurugenzi
- Kikwete azindua taasisi yake
- Kesi ya kupinga TLS yatupwa Dar
- Mayanga aita 26 stars...Simba, Azam wachezaji saba,Yanga wanne
- Yanga kuifuata Zanaco alhamisi
- Cheche: Haikuwa kazi rahisi kupata ushindi
- Jaguar: Ashikiliwa na polisi kwa mauaji Kenya
HABARI LEO
- Makonda arejea nguvu mpya
- Lusinde alia upweke kifo cha Kahama
- Lissu, Masha watinga kortini uchaguzi wa TLS
- Wenyeviti, Makatibu CCM wapikwauchaguzi wa ndani
- DC Kasulu aondolewa arejeshwa jeshini
- Mtanzania kuchezesha Kombe la Dunia
- Mayanga ataja Stars mpya
- BFT yasogeza mbele ndondi za Taifa
- Real warejea kileleni, Barca hoi
0 comments:
Chapisha Maoni