Jumamosi, Machi 25, 2017

MIAKA 10 YA SAA YA DUANIA KUADHIMISHWA USIKU HUU

Kabla na Baada
Mwaka huu itaadhimisha mwaka wa kumi wa saa ya Dunia maarufu kama "Earth Hour" tukio ambalo ulianza kama tukio ya kuashiria mwaka 2007 mjini Sydney, Australia.
Duniani kote zaidi ya alamardhi 350 kutoka New York hadi Beijing zitakuwa na giza huku mamilioni ya watu duniani wakizima taa zao kutoka saa mbili na nusu usiku mpaka saa tatu na nusu usiku siku ya Jumamosi (Leo)

0 comments:

Chapisha Maoni