Soma vichwa vya habari katika magazeti ya leo februari 18, 2017 ya Tanzania katika kurasa za mbele na nyuma za michezo
TANZANIA DAIMA
- Uhamiaji wamsubiri Yusuf Manji wodini...ashindwa kushuhudia Yanga ikicheza na Comoro uwanja wa taifa leo, Masogange ang'ang'aniwa
- Viroba mwisho Machi
- Zitto: Bunge livunjwe
- Makonda aacha maumivu mamlaka dawa za kulevya
- Maalim Seif awandoa hofu CCM
- Buriani Geofrey Bonny, wadau wamlilia
- Wachapwe, 'wasepe' zao
- Simba yaiendea Yanga Zanzibar
MTANZANIA
- Nongwa utajiri wa RC Makonda yaibua mapya
- Serikali yapiga marufuku pombe za viroba
- Manji alazwa tena taasisi ya moyo
- Watumishi TRA watajwa orodha dawa za kulevya
- Simba, Yanga kuamua ubingwa
- Serengeti Boys itafungua milango ya soka Afrika
- Geofrey Bonny afariki dunia
HABARI LEO
- Wawili wadakwa TRA kwa dawa za kulevya...wengine 2 bado wasakwa, oparesheni kali bado yaendelea nchi nzima...Majaliwa azindua Baraza la Taifa la kudhibiti mihadarati
- Ziara ya Magufuli Ethiopia yazaa matunda...Benki ya AfDB yaahidi kusaidia uzalishaji wa umeme wa gharama nafuu
- Yanga njia nyeupe
- TFF yawalilia Bonny, Mbaga
MWANANCHI
- Waziri mkuu adhibiti kuwataja watuhumiwa dawa za kulevya
- Kamati ya Bunge yaona madudu mradi wa NSSF
- Mikoa vinara nchini ukamataji mihadarati februari 13-16
- Mwanamke asimulia alivyobakwa Msumbiji
- Walanguzi Mexico watumia manati kuingiza dawa za kulevya Marekani
- Siri ya utulivu wa kisiasa Moshi
- CUF yawatuliza wanaolia kufungwa ofisi kwa ukata
- Waziri wa zamani amjia juu Mwakyembe
- APR, Zanaco zaigombania Yanga
NIPASHE
- Watanyooka...Korti yawasubiri maofisa wawili wa TRA waliopitisha tani 22 za kemikali za dawa za kulevya
- Uzito watesa wengi nchini
- Faini mil 938 siku 11 Dar
- Diwani adaiwa kuua mdeni
- Viroba mwisho machi mosi
- Mgambo, Machinga kama paka na panya Mwanza
- Alivyolima bangi miaka miwili bila kukamatwa
- Yanga kumaliza kazi leo dhidi ya Ngaya...TFF yapiga marufuku mabango ya kukashifu serikali, viongozi
- Omog aelekeza silaha zake Yanga
- Hatma ya Wenger kujulikana aprili
0 comments:
Chapisha Maoni