Hapa kuna vichwa vya habari vya magazeti ya leo februari 17, 2017 kutoka Tanzania;
JAMBO LEO
- CHADEMA yalilia viongozi wastaafu...yataka wajitokeze kuishauri serikali kuhusu katiba...yalalamikia wafuasi wake, wafanyabiashara kukamatwa
- Vilio, simanzi, dua vyatawala kesi ya Manji
- Sababu 10 vyuo vikuu nchini kupoteza sifa
- Wateja simu za mkononi wapungua
- Wanasheria wapinga hija ya Mwakyembe
- Mavugo aipeleka Simba robo fainali Kombe la FA
- Wanne Yanga mguu nje ndani kuivaa Ngaya
- WENGER: Daah! Ndio hivyo tulicheza hovyo
TANZANIA DAIMA
- Yanga yamuokoa Manji...Ni baada ya kufikishwa kortini, arudishwa tena wodini
- Bibi wa miaka 64 ajifungua mapacha
- CHADEMA: Ganzi ya Mwinyi, Mkapa, Kikwete yaliza Taifa...wasema ukimya wao kwa Magufuli ni hatari kwa Taifa
- Mwakyembe ashambuliwa kila kona
- Maalim Seif: Mabadiliko hayazuiliki
- Simba yatangulia robo fainali ASFC
- Niyonzima, Tambwe kuwakosa Ngaya FC..Chirwa, Ngoma nao 'out'...wacomoro watua, kuwaona 'buku' tatu
- Wezi waiba gari la Pluijm Dar
NIPASHE
- Manji huyu...apandishwa kizimbani akituhumiwa kutumia dawa za kulevya
- Orodha waliofunguliwa kesi Chadema inatisha
- Polisi yanawa mikono askari 9 wa Makonda
- Mavugo aing'arisha Simba...aendeleza kasi yake ya kufunga akiwa amefunga mechi tatu mfululizo
- Lwandamina; Hatutawadharau Ngaya FC
MWANANCHI
- Manji apanda kizimbani, Masogange apimwa...Polisi 9 wakabidhiwa kwa Sianga
- Tume ya Jecha yapewa nguvu zaidi Zanzibar
- Chadema kuendeleza tena oparesheni Ukuta
- CAG mstaafu aonya suala la viwanda
- Jinsi arosto inavyotesa watumiaji dawa za kulevya
- Minyoo ni janga jipya lisilofahamika nchini
- Ofisi za CUF zaidi ya 30 zafungwa sababu ya ukata
- Simba ya kwanza robo fainali FA
- Simba yabadili kikosi Yanga
HABARI LEO
- Manji ashtakiwa kwa kubwia 'Unga'...Masogange apelekwa kwa mkemia mkuu
- Vituo 155 vya QT kufutwa
- Waliofukuzwa Msumbiji wafikia 193
- Polisi, Tamwa wamwokoa binti(13) aliyeandaliwa kuposwa
- Kombe la Shirikisho; Mavugo aipeleka Simba robo fainali
- Yanga, Ngaya hakuna kulala
- Wenger atakiwa kufikiria hatma yake
0 comments:
Chapisha Maoni