Jumatatu, Februari 20, 2017

SI VITA, NI MGOGORO WA WAALIMU NA MAJESHI

 
Katika picha zote uzionazo hapo juu sio vita kati ya majambazi na majeshi ya Guinea, bali ni Walimu wakifanya maandamano huko Conakry, Guinea, wakidai nyongeza ya mshahara na nafasi za ajira, na kujikuta wakipambana na polisi. 
Madhara yaliyojitokeza katika kadhia hiyo ni pamoja na uharibufu mkubwa wa miundombinu pamoja na watu kujeruhi pakubwa japokuwa hakuna kifo ambacho mpaka sasa kimeripotiwa.

0 comments:

Chapisha Maoni