MTANZANIA
- Tuhuma za dawa za kulevya: Hatimaye Mbowe...Polisi wamnasa baada ya kukaidi kujisalimisha kwa siku 13, apekuliwa nyumbani kwake
- Vituo vya kusaidia mateja vyafurika
- Serikali yazitega Simba, Yanga...viingilio vyatajwa, tiketi mwisho ijumaa
- Yanga yaikalia kikao Simba
- Izzo Bizness: Dawa za kulevya zimewashusha wasanii
NIPASHE
- Lissu aomba kuhamisha uwanja kesi ya Bulaya
- Mbowe atiwa mbaroni
- Mbwa wakamata 20 dawa za kulevya
- Wavamia kupora dhahabu, wauawa
- Pingamizi lakwamisha rufani Chadema
- Jeshi la Magereza kuburuzwa kotrini?
- Simulizi 'mzungu wa unga' alivyopekuliwa
- Yanga yakimbilia fasta Kigamboni...Ngoma aanza mazoezi mepesi, lakini Lwandamina hana uhakika wa kumtumia
- Omog asisitiza ushindi lazima
- Guardiola amkingia kifua Wenger
HABARI LEO
- Mbowe mikononi mwa polisi...ni baada ya chenga za siku kadhaa...kesi yake dhidi ya Sirro, Makonda leo
- Viroba vyapoteza bil. 600 serikalini
- Waliofikuzwa Msumbiji wafikia 2400, mmoja afa
- DED achemsha madiwani
- Uzuri wa Simiyu
- Serikali yatoa neno mechi Simba, Yanga
- Yanga yatoa hofu mashabiki, Simba dozi nene
- Timu ya Tenisi yafuzu kombe la dunia
- Mourinho aipa ubingwa Chelsea
MWANANCHI
- Mbowe alivyokamatwa na polisi darajani Dar...afikishwa kituo kikuu saa 11:28 jioni,askari 10 waenda nae nyumbani kumpekua...Kesi yake dhidi ya Makonda, Siro, Wambura kuunguruma mahakama kuu leo
- Ziara 40 za waziri mkuu zilivyotikisa nchi
- Mgodi waua wanne Chunya
- Papa atoa neno mzozo wa DRC
- Mawaziri wanne wakwama Arusha mgogoro Loliondo
- Watunza makaburi wauza maeneo ya kuzikia
- Yanga, Azam kuanzia nyumbani
- Mavugo, Msuva wanakibarua maalumu
JAMBO LEO
- Makonda, Sirro waitwa kotrini...watakiwa kujieleza kuhusu utangazaji majina, ukamataji
- DC amfumania mwalimu mubashara akiwa na mwanafunzi
- Mbowe mikononi mwa polisi, Lowassa arejea kufuatilia
- 'Denti' feki udaktari aishi bwenini, Ahudhuria vipindi
- Zitto awakilisha Tanzania Kenya
- Trump ajitetea kwa kauli yake dhidi ya Sweden
- Simba yabadili gia juu kwa juu
- Mashabiki Yanga, Simba kitanzini...Ni watakaong'oa viti, kufanya fujo...kuziona jumamosi 'buku' 7
- Man City, Monaco kama vita ulaya
0 comments:
Chapisha Maoni