Jumatatu, Februari 20, 2017

WATANO WAFA KATIKA DHORUBA KUBWA

Dhoruba kubwa iliikumba sehemu ya kusini ya jimbo la California, magharibi mwa Marekani, na kusababisha vifo vya watu wasiopungua watano kwenye ajali za barabarani na za umeme. Idara ya utabiri wa hali ya hewa ya Marekani imesema dhoruba hiyo ni kali zaidi kuwahi kutokea nchini humo katika miaka 6 iliyopita

0 comments:

Chapisha Maoni