Miaka ishirini baada ya kifo cha Princess Diana, maonyesho yanayokuza mtindo wake wa mavazi yamefunguliwa Jana katika makaazi yake ya zamani Kensington Palace mjini London.
Maonyesho ya "Diana: Her Fashion Story" yanaonyesha mavazi ya kuvutia ambayo aliyatumia katika maisha yake.
Mtunza maonyesho Deirdre Murphy amesema kuwa maonyesho hayo yanaonyesha mapinduzi ya mtindo wa mavazi wa Diana.
Murphy alisema mavazi ya Diana yalikuwa ya kuvutia na kupendeza sana.
0 comments:
Chapisha Maoni